A

A

Taswira,CCM wavuna Wanachama wa Chadema Iringa Mjini



Wafuasi  wa Chadema  wakirudisha kadi  kwa katibu wa CCM Iringa mjini jana


Katibu  wa CCM Iringa mjini Hassan Mtenga akimhoji mmoja kati ya wana Chadema aliyerudisha kadi na kujiunga na CCM katika mkutano wa hadhara  jana 






Mbunge Ritta kabati kulia akimsaidia mmoja kati ya makada wa Chadema kuonyesha kadi  baada ya kujitoa Chadema na kujiunga na CCM jana  kushoto ni mwenyekiti wa CCM wilaya Abed Kiponza

Viongozi wa CCM  wakipiga picha ya pamoja na wana chadema  waliojiunga CCM






Mwenyekiti wa CCM Iringa mjini Abed Kiponza kulia akipokea kadi kwa  wana Chadema  waliojiunga CCM jana











CHAMA Cha mapinduzi (CCM) wilaya ya  Iringa mjini  kimesema kimejipanga kwa nguvu zote kuhakikisha mbunge wa  jimbo hilo mchungaji Peter Msigwa anaachia jimbo hilo hata kama hataki ikiwa ni  pamoja na  wiki tatu kwa mstahiki meya  wa Halmashauri ya Manispaa ya  Iringa Amani Mwamwindi kufuatilia kero mbali mbali za wananchi ikiwa ni pamoja na kujua kiasi cha Tsh milioni 15  zinazotolewa kwa  ajili ya mfuko wa  maendeleo ya  jimbo hilo kama zinatumika vema .

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako