A

A

Mimi ni wakwanza kukupa Video Clip hii Platnum na Profesa J wakiwa Bongo Record

Diamond Platnum na Profesa J wamekesha Siku Mbili Ndani ya Bongo Record wakipika wimbo mpya wa kaunza nao mwaka 2014,Stay tuned

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako