A

A

Tahadhari wakazi wa jiji la mbeya matapeli wa kike kutoka nzovwe wavamia jiji wajifanya mtoto anaumwa wametoka hospitali hawana nauli kumbe janja ya nyani





 HIVI NDIVYO WANAVYOKAA MITAANI WAKISIMAMISHA KILA MWANAUME ATAKAEPITA NA KUSEMA UONGO WAO HUO
                      WASHITUKIA KAMERA YETU IMEWANASA WAFICHA SURA ZAO



                                   UZALENDO UMEWASHINDA WATIMUA MBIO