SHULE ya Sekondari ya Loyola ya Jijini Dar es Salaam leo imeadhimisha
Siku ya Mtoto wa Kike shuleni hapo kwa kutoa semina mbalimbali kwa
wanafunzi wa kike juu ya changamoto zinazowakabili watoto wa kike na
namna ya kukabiliana nazo hasa kwa wanafunzi shuleni.
Mada anuai zimetolewa kwa wanafunzi juu ya changamoto zinazowakabili hasa katika kipindi hiki ambacho nchi
Mada anuai zimetolewa kwa wanafunzi juu ya changamoto zinazowakabili hasa katika kipindi hiki ambacho nchi
zinazoendelea zinakabiliwa na changamoto ya utandawazi.
Miongoni mwa watoa mada waalikwa katika maadhimisho ya siku hiyo ni Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) ambao walitoa mada anuai kwa wanafunzi juu ya kukabiliana na changamoto zinazowakabili hasa kipindi hiki ambacho wanahudhuria masomo yao.

Sehemu ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Loyola wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Shuleni hapo.
Mgeni rasmi wa na Mwakilishi kutoka Kituo cha Maendeleo ya Uchumi,
Rukia Shauri akikata keki maalumu ya kuchangisha fedha zinazowasaidia
baadhi ya wanafunzi wanaokubwa na matatizo ambayo familia zao hushindwa
kuwasaidia.
Baadhi ya wanafunzi wa kike waliofanya vizuri katika mtihani wa kidato
cha pili suleni hapo walizawadiwa katika hafla hiyo. Mgeni rasmi wa na
Mwakilishi kutoka Kituo cha Maendeleo ya Uchumi, Rukia Shauri akimpa
zawadi mmoja wa wanafunzi hao.
Mgeni rasmi wa na Mwakilishi kutoka Kituo cha Maendeleo ya Uchumi,
Rukia Shauri akilishwa keki na mmoja wa washiriki katika maadhimisho
hayo.
Mgeni rasmi wa na Mwakilishi kutoka Kituo cha Maendeleo ya Uchumi,
Rukia Shauri (kulia) akilishwa keki na Mkufunzi Chuo cha Mafunzo ya
Jinsia (GTI) cha TGNP, Rashida Shariff kwenye hafla hiyo
Wanafunzi wa Kidato cha Tano Loyola, wakiwa kwenye foleni kwa ajili ya kulishwa keki ya uchangishaji fedha kwenye hafla hiyo.
Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) cha TGNP, Rashida Shariff kulia akizungumza na vyombo vya habari kwenye maadhimisho hayo.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Loyola wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Shuleni hapo.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako