Jeneza
lenye mwili wa Marehemu Sultan Sikilo,aliekuwa Mweka Hazina wa Chama
cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) na mchezaji wa timu
ya Waandishi wa Habari za Michezo TASWA Fc ambaye pia alikuwa Mtangazaji
wa Radio Aboud ya Mjini Morogoro,ukitolewa ndani ya Nyumba yao,eneo la
Mbagala Maji Matitu kwa ajili ya kusaliwa na kuanza kwa safari ya kwenda
mashikoni.
Waumini wa Kiislam wakiswalia Mwili wa Marehemu Sultan Sikilo.
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Sultan Sikilo likiwa limebebwa tayari kwa safari ya kwenda kwenye nyumba ya Milele.
Wadau mbali mbali wakishirikiana kubeba Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Sultan Sikilo
Taratibu za Mazishi.
Wadau
mbali mbali wakishiriki kwenye mazishi la Marehemu Sultan Sikilo leo
kwenye Makaburi ya Kibada,Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
Waombolezaji.
Credit kwa JIACHIE BLOG