Picha:Mh:Edward Lowassa atembelewa na Mwenyekiti wa Tawi la CCM Washington DC
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli ambaye pia ni mwenyekiti kamati
ya bunge ya mambo ya nje akifurahia jambo kutoka kwa mwenyekiti wa ccm
tawi la Washington DC George Sebo aliyekwenda kumtembelea Mh Lowassa
ofisini kwake jijini dar es salaam.