Askari walilikuwa wakielekea katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni
za CCM kata ya Nduli Iringa mjini wakitazama gari ambalo alikuwa
akiendesha OCD Iringa lililopata ajali majira ya saa 10 jioni
jumapili japo hakuna aliyepoteza maisha ktk ajali hii iliyotokea kona
la Mgongo barabara ya Iringa-Dodoma
wasomi wa chuo kikuu cha Iringa wakitazama ajali hiyo ambayo dereva
wake OCD Iringa alinusurika kifo na kuumia mkono wake kiasi
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako