A

A

Hali halisi madarasani katika shule zetu “St Kayumba Kwelikweli”


Picture
Baadhi ya wanafunzi wa darasa la tatu wa shule ya Msingi Mwembesongo, Manispaa ya Morogoro,wakindika masomo yao wakiwa wameketi chini sakafuni kama walivyo kutwa darasani mwao Januari 6, mwaka huu shule zilipofunguliwa . (picha: John Nditi, Morogoro via Lukwangule blog)

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako