Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho kutoka Clouds Fm ‘The people’s Station’ leo kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ikiwa na maneno haya chini.
‘Natangaza nia ya kugombania ubunge 2015 na
kuingia kwenye siasa rasmi 2015,Kama
mwanasiasa kijana nina mengi ya kusaidia Taifa na jamii inayituzunguka
yenye vijana wengi,i want to inspire and motivate and i want my voice to
be heard,i want to speak up and there’s no turning back,God is
Good,need all strength and i got the big support in this from my close
friend,solidarity madaraka kwa uma.
Huo ndiyo ujumbe uliosomeka kwa Diva ingawa bado hajaweka wazi jimbo atakalogombea,Kama atafanikiwa kuingia bungeni Diva atakua kwenye list ya miongoni mwa watangazaji na vijana walioingia kwenye siasa.

Credit:Millardayo
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako