A

A

Tamko la Precision Air baada ya ajali ya kupasuka matairi kwa ndege yao

1441502_490297281087923_1876414922_n 
PUBLIC NOTICE – OFFICIAL STATEMENT
Precision Air Flight 422, a flight from Dar es Salaam to Arusha, using ATR 42-600 (code number PWI) departed Dar es Salaam without incident at 11:20am today, 13 December 2013, carrying 37passenger on board. Upon landing in Arusha the aircraft experienced tyre deflation.
All 37 passengers and 4 crews on board are safe.
Due to this, several flights have been impacted and arrangements have been made to re-route some of our flights to uplift our passengers to their various destinations as planned. All direct flights to and from Arusha have been re-routed to Kilimanjaro as per below table due to space constraints in accommodating two ATRs at once at Arusha Airport.
Abiria kadhaa akiwemo aliyekua Waziri Mkuu na Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa leo December 13 wamenusurika kifo, baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote manne ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika uwanja wa ndege wa Arusha mchana mchana huu.
Ndege hiyo ni mali ya shirika la ndege la Precision aina ya ATR ilipata ajali hiyo wakati ikitua Arusha.ambapo Matairi yote manne ya nyuma yalipasuka na kusababisha taharuki kubwa kwa abiria.
Jumla ya watu 41 waliokua kwenye ndege hiy, ikiwa ni abiria 39 na wafanyakazi 4 wametoka salama.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako