Mmoja wa mashabiki akimtunza Gurumo baada ya kumkoleza.
Gurumo akishindilia noti mfukoni.
Shabiki huyu inaonekana alikumbushwa mbali sana.
Mashabiki hawa baada ya kunogewa walivamia jukwaa.
Mpiga tarumbeta mwenye makeke, Roman Mng'ande 'Romario' akipagawisha mashabiki.
Mashabiki wakiserebuka na mwanamuziki wa Msondo, Hassan Moshi.
Mzee Makasi (kulia) akiburudisha mashabiki. Kushoto ni mcharaza gitaa mahiri, Hamza Kalala 'Komandoo'.
Katika
tamasha hilo, Gurumo alitangaza kuwa warithi wa kazi yake ya kuimba ni
hawa, Hussein Jumbe (kulia), Edo Sanga (kushoto) na Juma Katundu.
WADAU wa burudani nchini usiku wa kuamkia leo walifurika kwenye
Viwanja vya TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam kwenye tamasha la
kustaafu muziki gwiji wa dansi hapa nchini, Maalim Muhidini Gurumo.
Katika tamasha hilo, wakongwe kadhaa wa muziki walimsindikiza mwenzao
kutoa burudan
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako