Seneta
wa Nairobi,Kenya Mike Sonko ni miogoni mwa watu wasio potea kwenye
vichwa vya habari kwenye mitandao ya kenya Wiki hii story iliyo chukua
headline kwenye mitandao mikubwa Duniai niile aliyopost picha akiwa na
Raisi mataafu wa zamani wa Afrika kusini Hayati Nelson mandela aliyopiga
na Mohammadi Alli na kuiedit kwa kuweka picha yake
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako