A

A

PICHA NAMNA KY-LYN ALIVYOSHEREKEA BIRTHDAY PARTY YAKE CHINI YA MENGI NA DIAMOND PLATNUM



7077dd305f2a11e3a7fd12b201d372bb_8
Ilikuwa ni siku ya furaha sana usiku wa kuamkia leo kwenye sherehe ya kuzaliwa Miss Klynn aka MAMA MAPACHA pande fulani hivi jijini Dar es Salaam. Party hii ilikuwa ni yaaina yake kwani ilikuwa ni kwa watu walioalikwa tu, kama unavyoona picha jinsi walivyokuwa safi na namuona Boss Mengi akiwa mwenye nyuso ya furaha baada yakutizama show kali ya Diamond.
155d442125e9d11e3bc3b0a68a02b4cb4_82

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako