Kutokana na makampuni karibu yt ya simu
Tz kuwa na huduma hz za mobile money, Je inapotokea mteja amefariki,
makampuni yanawajibika vipi kuhusu kurudisha pesa za mteja wao kwa
msimamizi wa mirathi au warithi?
swali hiili linazingatia kuwa wateja wanaoweza kutwa na mauti kwa vyovyote wanaweza kuwa na akiba kidogo kwenye ac zao za mitandao ya simu wanayotumia!
Je kuna sheria yoyote ambayo imeweka bayana masuala haya?
kwa wenzetu walio kwenye makampuni ya simu tafadhali mtusaidie kwa hili!
naomba kuwasilisha kwa mjadala!

No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako