Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, 
akifungua kitambaa kuzindua mradi wa maji safi na salama katika shehia 
ya Chumbuni mjini Zanzibar wakati wa uzinduzi huo uliofanyika leo jioni 
ikiwa ni katika shamrashamra za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya 
Zanzibar.
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib 
Bilal, akifungua Bomba kuashiria kuzindua mradi wa maji safi na salama 
katika shehia ya Chumbuni mjini Zanzibar leo, ikiwa ni katika 
shamrashamra za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako