Zinafanyika jitihada za kuchimba kumwokoa mtu mmoja aliyebanwa.
Mtu mmoja amekufa na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la Hood Limited lenye namba za usajili T 159 AXM lililokuwa linatoka Mbeya kuelekea Arusha kupinduka eneo la Melela- Mlandizi, Mvomero mkoani Morogoro.
Basi hilo
lilikuwa likijaribu kulikwepa gari lingine na kuingia mtaroni.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako