A

A

Jua undani wa kifo cha paul walker

Kama asingepanda gari ambalo limempelekea katika ajali iliyosababisha kifo chake hadi leo paul walker angekuwa yu hai ,story nzima hii hapa
Siku ya jumamosi alfajiri paul alikuwa anaelekea kwenye fundraiser moja at Always Evolving—Roger Rodas katika auto shop moja hivi  ambayo ime-specialise katika mauzo ya magari yakifahari,na paul alikuwa anagari lake katika garage duka hilo.
Sources zinasema wakati Paul anawasili  mmiliki wa duka hilo la magari  alikuwa anaangalia jinsi mmoj wa wafanyakazi wake akiwa anajitahidi ku-pack gari  kwa kurudi nyuma ,gari ina ya Carrera GT dukani hapo,alikuwa anachukua mda mrefu kulipaki na ilikuwa inampa shida kupaki vizuri ,Roger akamua kuchukua jukumu yeye mwenyewe na kujaribu kulipaki .
Wakati  Roger anaingiza tu gari hapo garage ,Paul naye ndo akawa anwasili nakumuona mmiliki huyo ambaye ni rafiki yake akiwa anaingiza kari hilo la kifahari na kumwambia hajawahi kuendesha Porsche,basi Rogers akamwambia apande kwenye seat ya abiria na wakatoka kwenda kwenye test drive ya takriban dakika 20.
Hajali hiyo mbaya ilitokea wakati wanarudi kutokea kwenye hiyo test drive,just 500 yards kutoka kwenye duka hilo la magari.
Rafiki wazamani wautotoni  wa paul,Nute.alikimbilia alipopata taarifa alikimbia nakwenda na fire extinguisher kujaribu kuuzima moto wa gari lilokuwa linateketea na moto hata baada yakugundua kwa ajali hiyo hamna mtu aliye hai humo ndani.
wakati team ya zimamoto inawasili Nate kwa hasira akampiga ngumi ya uso mmoja wa firefighter,kitu kilichopelekea polisi waliofika katika tukio hilo kumuweka Net custody na baadae kumwachia huru baada ya kugundua hali halisi ya tukio.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako