B Hitz Wabana Ngoma Walizoziacha Wasanii Ambao Wamejitoa Katika Studio Hiyo
Moja ya studio kubwa ya muziki hapa nchini ijulikanayo kwa jina la B
Hitz, imechukua uwamuzi mpya kutokana na sakata lililotokea hivi
karibuni la kutokuelewana na wasanii wake wakubwa watatu; Mabeste,
Vanessa na Gosby … na kupelekea kuondoka kwa wasanii hao katika studio
hiyo ya B Hitz.
Studio hiyo imechukuwa uamuzi wa kuzuia baadhi ya ngoma zilizokuwa
zimebakia za msanii Vanessa mdee na Gosby, kwa kuwa ngoma hizo ni moja
ya project na mali za studio pia, kutokana na mikataba waliyo kuwa
wamesign wasanii hao.
Uwamuzi huo umekuja baada ya wasanii hao kuvunja mikataba yao na kuonyesha utovu wa nidhamu baada ya kushindwa kuelewana na uwongozi wa studio hiyo. Kwa hiyo ngoma hizo zilizobakia za wasanii hao hazito ruhusiwa kutoka.

No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako