A

A

FIQ AGEUKIA BIASHARA YA MADINI

MKALI wa Hip Hop Bongo,Farid Kubanda'FIDQ'amegeukia biashara ya madini baada ya kutupia picha ya madini aina ya Ruby kwenye mtandao wa instragram huku akiandika kuwa RubySozite NewHustle roll a phat 1 fi ya Nig..!!!
Ambapo mashabiki wake walitoa maoni kama inavyoonekana•
• shebykasuku Duuh hizo zote!!!! 22h
• gishab But dont foget the orgn hiphop 22h
• inekany Woooo!!!!!! 22h
• bijouxjamesbond Hustle hard 22h
• adammwagito Play hard n work hard... 21h
• seifsharo 9c babu wa hiphop... 20h
• frankkaserwa Tanzanian God gave us prenty richest but selfishness virus made us loose on management of our natural richest from GOD 6h
• miss_nai_nai Those are beautiful... 2h

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako