Kiungo aliyepata kuityumikia Simba SC Mohammed Bank anataraji kuonekana
katika mzunguko wa pili akuwa na uzi wa Ashanti united itakayo kuwa ina
nolewa na kocha Abdallah King Kibaden Mputa katika mzunguko huo wa pili
unaotaraji kuanza mwishoni mwa mwezi january.
Banka naejiunga na Ashanti united akitokea katika timu ya Bandari ya Kenya ni9 miongfoni mwa wachezaji 10 waliongezwa katika kikosi cha Ashanti unitedb wakiwa na dhamana ya kuhakikisha Ashanti united haishuki daraja.
Ashanti unites iliyopo katika janga la kushuka daraja pia wamewaacha wachezaji wa 5 katik usajili hyuu wa dirisha dogo ambao ni Amani Simba, Samiri Ruhava, Peter Ilunda, Emmanuel Memba, Jaffar Gonga
Nnje ya Mohammed Banka wengine waluioongezwa katika kioksi cha Ashanti ni pamoja na Juma Jabu, Juma Mpongo (Coast Union), Rahim Juma (Simba), Ike Obina (African Lyon), Victor Costa, Abuu Mtiro, Shafii Hassan na Mohammed Faki (Zanzibar National Team)

No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako