Mkutano wa Kwanza wa Kinana Mkoa wa Mbeya ni Funika mbaya,haijawahi tokea
Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Ipinda wilayani Kyela
kwenye mkutano wa hadhara ambao ndio mkutano wake wa kwanza kama Katibu
Mkuu wa CCM lakini pia ndio siku aliyowasili akitokea Ruvuma .
Katibu wa NEC
Siasa na Mahusiano ya Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro akiwasalimu wakazi
wa Ipinda wilaya ya Mbeya na kuwasihi wakina mama wawe mstari wa mbele
kuhakikisha mabinti zao wanapata elimu.
Katibu wa NEC
Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Ipinda na kuwaeleza
mambo muhimu ya kutafakari kabla hawjakurukupia siasa na baadhi ya vyama
vingi vipo kwenye mfumo na utawala binafsi.
Mbunge wa Kyela
Dk. Harisson Mwakyembe akihutubia wakazi Ipinda wa kwenye mkutano wa
hadhara ambao mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa amekaa Nyumbani kwa Balozi wa Nyumba 10 Ndugu Menas Ndoma .
Wananchi wa Shina
namba 1kata ya Walema wakishangilia salaam za Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana alipokuja kumtembelea Balozi Menas Ndoma wa kata ya
Walema.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako