A

A

WANASIASA WAKUBWA HUTOKA MBALI,HUYU NI YULE WA ZANZIBAR ANAYESIMAMA CUF

Maalim Seif Sharif Hamad (Makamu wa Kwanza wa Rais - Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF) mwaka 1963 akiwa mwanafunzi King George VI Boys government secondary school (sasa Lumumba). Maalim Seif ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) katika Sayansi ya Siasa, Utawala na Uhusiano wa Kimataifa, darasa la mwaka 1975. Mmoja ya classmates na marafiki za Maalim Seif UDSM alikuwa Kapteni John Zephania Chiligati.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako