Ni siku kama tano zimepita toka ubalozi wa Tanzania nchini China
usema hauna taarifa zozote za kukamatwa kwa Mtanzania Jackie Cliff huko
China na kwamba Watanzania wa mwisho kukamatwa ilikua December 2013 na
walikua Wanaume.
Saa kadhaa zilizopita msanii Jux ambae amekua akitajwa kuwa mapenzini
na
Jackie, amepost maelezo pamoja na picha ambayo inaonekana inaonekana
ameongea na Jackie kwa kupitia mtandao wa Skype.
Msanii wa kundi la Wakacha Juma Jux kwenye account yake ya instagram
amepost hiyo picha hapo juu na kuandika,”HAPPY BIRTHDAY MAMIE Was good
talking to you and i am so happy kuwa sababu ya tabasamu lako words
can’t explean wat u mean to me only god knows. today is your day HBD my
lv”