A

A

MWIGULU NCHEMBA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA IRAMBA HII LEO

Mgombea Ubunge Jimbo la Iramba kwa tiketi ya CCM Ndugu Mwigulu Nchemba akikabidhiwa Fomu za Serikali za kuwania Ubunge jimbo la Iramba kupitia CCM.Fomu zimetolea hii leo Ofisi ya Mkurugenzi wilaya ya Iramba.Mwigulu Nchemba akizaja Stakabadhi ya Malipo iliaweze kuchukua Fomu ya Kuwania Ubunge Jimbo la Iramba.Mwigulu NChemba akiwa na Wagombea Udiwani kwa tiketi ya CCM,Jimbo la Iramba.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako