Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano
unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza ajira na
kazi zenye utu (Achieving sustainable development through employment
creation and decent work) tarehe 30 Aprili, 2015 katika Makao Makuu ya
Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Marekani.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye ufunguzi wa Mkutano
unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza ajira na
kazi zenye utu (Achieving sustainable development through employment
creation and decent work) tarehe 30 Aprili, 2015 katika Makao Makuu ya
Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Marekani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiondoka baada ya yeye
kuhutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano unaozungumzia jinsi ya kupata
Maendeleo endelevu kwa kukuza ajira na kazi zenye utu (Achieving
sustainable development through employment creation and decent work)
tarehe 30 Aprili, 2015 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN)
jijini New York, Marekani.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako