Ofisa
Uhusiano wa Mfuko wa PSPF, Abdul Njahidi (kulia) akiwaonesha baadhi ya
wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds
FM baadhi ya tuzo walizozitwaa kutokana na huduma bora wanazozitoa kwa
wateja wao.Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa PSPF, Adam Mayingu (mbele) akizungumza wakati baadhi
ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo
jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa PSPF.Mkurugenzi
wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kulia) akizungumza wakati baadhi ya
wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo jijini
Dar es Salaam.Baadhi
ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa
Clouds FM wakiwa mkutanoni na maofisa wa mfuko wa PSPF wakati
walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi
wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kulia) akizungumza wakati baadhi ya
wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo jijini
Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa PSPF.Mkutano
kati ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN), watangazaji wa
Clouds FM pamoja na maofisa wa mfuko wa PSPF ukiendelea.Mmoja
wa maofisa wa mfuko wa PSPF akitoa ufafanuzi Wakati baadhi ya
wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds
FM walipotembelea makao makuu ya ofisi hizo jijini Dar es Salaam.Mkutano
kati ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN), watangazaji wa
Clouds FM pamoja na maofisa wa mfuko wa PSPF ukiendelea.Ofisa
Uhusiano wa Mfuko wa PSPF, Abdul Njahidi (kulia) akiwaonesha baadhi ya
wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds
FM baadhi ya tuzo walizozitwaa kutokana na huduma bora wanazozitoa kwa
wateja wao.Baadhi
ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa
Clouds FM wakiwa mkutanoni na maofisa wa mfuko wa PSPF wakati
walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam.Baadhi
ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa
Clouds FM wakiwa kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa
kisasa kupata maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa.Mmoja
wa watangazaji kutoka Clouds FM, Gerald Hando akiuliza swali kwenye
kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa kisasa kupata maelezo namna
kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa.Mkurugenzi
wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kushoto) akitoa ufafanuzi wakati baadhi
ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo
jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa PSPF.Baadhi
ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa
Clouds FM wakiingia kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa
kisasa.Baadhi
ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa
Clouds FM wakiwa kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa
kisasa kupata maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa.Baadhi

Clouds FM wakiwa katika moja ya jengo refu kupita yote nchini Tanzania
ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko wa PSPF, jengo hilo lina
eneo maalumu la shughuli za biashara na makazi.Baadhi
ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa
Clouds FM wakiwa katika moja ya jengo refu kupita yote nchini Tanzania
ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko wa PSPF, jengo hilo lina
eneo maalumu la shughuli za biashara na makazi.Muonekano
wa taswira ya jiji la Dar es Salaam ukiwa katika jengo refu kupita yote
nchini Tanzania ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko wa PSPF,
jengo hilo lina eneo maalumu la shughuli za biashara na makazi.Muonekano
wa taswira ya jiji la Dar es Salaam ukiwa katika jengo refu kupita yote
nchini Tanzania ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko wa PSPF,
jengo hilo lina eneo maalumu la shughuli za biashara na makazi.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako