A

A

#HABARI CHID BENZ APATA DHAMANA!



Hatimaye Rapa Chid Benz leo amefanikiwa kupata dhamana na kutolewa rumande na kurejea uraiani. Anatakiwa kufika mahakamani Novemba 11 ambapo kesi yake itatajwa tena.

Una lipi la kumwambia Chid Benz baada ya kupata dhamana na kurejea uraiani?

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako