Baada
ya kukutana na viongozi wa vyamba mbalimbali vya upinzani Tanzania na
kuzungumzia ishu ya bunge la katiba, iliamuliwa kwamba katiba ya zamani
ndio itakayotumika kwenye uchaguzi mkuu ujao ila itafanyiwa marekebisho.
Kwenye
ukurasa wake wa twitter President JK ambae alikua hajaandika chochote
toka Aug 6 2014, aliweka hiyo picha hapo juu ikimuonyesha kwenye mkutano
na viongozi hao na kuandika >> ‘Mazungumzo na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dodoma, Septemba 8, 2014. Demokrasia ni majadiliano’
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako