Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na baadhi ya wajumbe wa kikao cha Mameya
wa Majiji, manispaa na miji nchini pamoja na Wenyeviti wa halmashauri
za miji na wilaya baada ya kuzungumza nao mjini Tanga Juni 30, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na baadahi ya washiriki wa mkutanono kati yake na Mameya ya
Majijiji Miji na manispaa pamoja na wenyeviti wa halmashauri za miji na
wilaya mjini Tanga Juni 30, 2014. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako