RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA NCHINI
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo wakati akitoa hotuba yake kwenye
ufunguzi wa mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo
katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akigawa rasimu ya katiba kwa viongozi wa vyama
mbalimbali vya siasa baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Vyama vya
Siasa leo katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa
Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa kufungua mkutano wa
Baraza la Vyama vya Siasa leo katika ukumbi wa mkutano
wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.viongozi
wa vyama mbalimbali vya siasa baada ya kufungua mkutano wa Baraza la
Vyama vya Siasa leo katika ukumbi wa mkutano wa
kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam. Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Maali Seif Shariff Hamad katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu wa
vyama vya siasa baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa
leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini
Dar es salaam. Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Maali Seif Shariff Hamad katika picha ya pamoja na wenyeviti wa vyama
vya siasa baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar
es salaam.Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Maali Seif Shariff Hamad katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu wa
vyama vya siasa baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa
leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini
Dar es salaam.Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Maali Seif Shariff Hamad wakiongozana na Sehemu ya viongozi wa vyama
mbalimbali vya siasa,wakitoka katika mkutano wa Baraza la Vyama vya
Siasa leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere
jijini Dar es salaam.Picha na Issa Michuzi.
Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akisoma dua kabla ya kikao hicho
cha Baraza la Vyama Vya Siasa vyenye usajili kuanza katika ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaaM
Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa wakiomba dua katika kikao hicho
cha Baraza la Vyama Vya Siasa vyenye usajili kabla ya kuanza katika
ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa katika kikao hicho cha Baraza la
Vyama Vya Siasa vyenye usajili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako