PICHA ZA WEMA NA AUNT EZEKIEL ZILIZOZUA GUMZO MTANDAONI, NI BAADA YA KUONEKANA CHUMBANI NA KANGA MOJA PAMOJA MARTIN KADINDA
Wema Sepetu ”In my shoes” Episode 20
Fashionista shopping + Bunyero nite. Aunt Ezekiel na meneja wa Wema,
Martin Kadinda ndani ya episode.
Dakika 14 za mwanzo ni mambo ya shopping
na kwa kiasi fulani inachosha. Baada ya
hapo, Martin Kadinga anawashukia Wena na Aunt kuhusu mpango wa
kuhudhuria Bunyero (Kibao Kata) na hapo ndio burudaniinapoanza
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako