A

A

NEWS ALERT: MAJAMBAZI YASHAMBULIA BASI LA WAFUNGWA LA MAGEREZA NA WATOKOMEA KUSIKO JULIKANA


Picha juu na chini ni tukio lililotokea muda si mrefu maeneo ya TMJ Hospital Majambzi yalikuwa yakikimbia kwa mguu yakitokea msasani kwa Nyerere walilishambulia basi la wafungwa la Magereza lililokuwa likisindikizwa na gari lingine nyuma lililokuwa na askari magereza. Shambulio hilo limewajeruhi wafungwa na baadhi ya asakari hao wa Magereza, hakuna mtu aliyekufa na majambazi yametokomea kusikojulikana. Mahabusu wanashangilia hapa na shughuli zote zimesimama hapa
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako