Wema Sepetu ameonekana kufungukia wale wanaomtukana kila siku na sasa kufikia hatua ya kumtukana hadi mama yake mzazi...
Kupita
mtandao mmoja wa kijamii, Picha moja ya mama mzazi wa Wema
Sepetu iliyotengenezwa na
kuwa CHAFU ilitolewa na kisha kuanza kushushiwa matusi mazito...
kuwa CHAFU ilitolewa na kisha kuanza kushushiwa matusi mazito...
Baada ya Picha na Matusi hayo, Wema amefunguka kwa uchungu kwa kuandika:
"Dah...! Sijui hata niseme nini...! Ila si mlitaka kuniumiza... leo mmefanikiwa... nawapeni hongera.... Tena mmetisha haswa... Kila sjku huwa hata siumizwi na matusi yenu cuz naonaga kama ni mnajisumbua tu... Hakuna siku nimelia kwa uchungu kama leo...
"I
min mnitukane mimi mpaka mchoke but leave my mum out of it... Kawakosea
nini nyinyi mama angu mpaka mfanye hivyo... Mzazi nwenyewe ndo
nimebakia nae mmoja tu... mnataka afe na yeye nibaki yatima sio...
dah... leo mmeniweza... saana jamani... Basi naomba isifike huko... nina
uchungu sana na mama angu ... nampenda sana mama angu ila naona mnataka
kuniulia mama angu...
"Picha
halisi ndo hio hapo juu kweli mtu uende ukamfanyie hivyo mama wa
mwenzako... una mama wewe.. au uliokotwa na hujui uchungu wa mama...
dah... nime surrender leo.... hongera zenu narudia tena... mmeniweza
leo.... dah...
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako