Wanamuziki wa Bendi ya Wafungwa, Nguza Viking ‘Babu Seya’ (kulia) na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’
(wa pili kulia) wanaotumikia kifungo cha maisha gerezani, wakitumbuiza
na wenzao katika maadhimisho ya Siku ya Magereza yaliyofanyika katika
Chuo cha Magereza Ukonga jijini Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako