picha ya wawili hao ilio pigwa photostudio |
Jokete akiwa amechora tattoo ya masoud kipanya logo |
masod kipanya pata application ya ej fashion website na habar zote za town moja kwa moja kwenye simu yako kwa kuingia hapa na kudowload our android application http://www.appsgeyser.com/1038654 |
moja ya picha yao ya ukaribu kipindi hicho.
siri hii imefichuka baada ya post ya jokate kusema kwenye kipindi cha
the one show,cha chanel one kuwa sijawahi chora tattoo yaina yoyote hapo
ndipo ,reporter wetu mdadisi wa mambo aka zizaka picha hizi nakupata
picha ya jokate akiwa na tattoo yenye logo ya kipanya,ndipo ikagundikana
jokete alichagua kuchorwa tattoo iyo wakati akipanda kwenye jukwa akiwa
Udsm kama super model kama ilivyo andikwa humu kwenye site yao http://udprsa.blogspot.com/2012/03/pr-everywhere-this-is-how-they.html.
Ishu hii iliofanyika muda kidogo
imefichua siri kuwa jokate alishawahi kumpenda sana kipanya hadikufikia
kuchora logo yake na kuingia nae photoshoot kwajili uakupiga nae picha
za ukaribu.
source:ejfashion&media
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako