A

A

Picha Za Magari Mapya Ya Kifahari Ya Psquare Na Gharama Zake

Peter Okoye wa P Square ameonesha magari mapya ya kifahari yaliyoingia hivi karibuni katika garage ya familia yao.
Magari mojaAmepost katika Instagram picha kadhaa zinazoonesha magari hayo na kuandika maelezo yanayoonesha ni
magari yaliyoingia katika jumba la Square Ville hivi karibuni na sio magari yote wanayomili.
“Crazy Squareville…New Arrivals…Don’t worry God will do same for u… #hardwork”
Magari mapya aliyoonesha ni pamoja na Wrangler Jeep ya mwaka 2014 ambayo kwa sasa inauzwa zaidi ya $22,395 na Bentley ya mwaka 2014 ambayo inauzwa kuanzia $177,500.
magari mbilimagari tatu

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako