A

A

PICHA: GARI LAGONGA MLANGO WA BENKI YA CRDB MOROGORO

PICHA: GARI LAGONGA MLANGO WA BENKI YA CRDB MOROGORO

Gari limegonga mlango wa kioo wa Benki ya CRDB, mkoani Morogoro. Taarifa zinasema kuwa dereva huyo alikuwa anataka kurudi nyuma kumbe alibonyeza sehemu ya kuendeshea ndo akaishia kuingia CRBD bila hodi. Picha na Taarifa News