wasanii hao. Hii imeeatokea wasanii kama Alikiba na wengine pia kukumbana na “Identity Theft” na baadhi kupiga hela na kutapeli wananchi pamoja na wasanii.
‘Director MOE MUSA’ ambae base yake ipo maeneo ya ‘BRIXTON’ South ‘London’ nchini Uingereza na amekuwa akifanya kazi za wasanii wakubwa sana Africa kama “Tiwa Savage, Davido, Fuse ODG” na wengine wengi nchini Uingereza, director huyu amefanya kazi na msanii Ommy Dimpoz “Ndagushima” na msanii ‘Diamond’ nae ametoka kufanya kazi na director huyo siku chache zilizopita katika ziara yake nchini UK katika ngoma yake aliyomshirikisha ‘Iyanya’
Kama kawaida ya wananchi ambao hawana cha kufanya hutaka kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu, hii ni kutokana na jamaa ajulikanae kwa jina ‘Oguns Douglas’ ambae amefungua account Facebook na kuanza kuchukua advance za wasanii na kusimama kama “Moe Musa” na kuwaahidi kufanyia video kali na kufanya utapeli wa hali ya juu kwa kutumia jina la Director huyo…. So wana EAST AFRICA, kuwa makini sana na matapeli kama hawa maana utakua unapoteza pesa zako bure. Na kama unahitaji kuwasiliana na Director Mr Moe Musa, hii ndio account yake ya ukweli na contacts zake zipo hapo.