Kumeendelea kujitokeza vikundi mbalimbali
vinavyojinasibisha na Mh Edward Lowassa, miongoni mwao ni kile
kinachojiita Muungano wa Marafikiwa Mh Edward Lowassa Wasio na
Mipaka(MELOWAMI).Muunganno huu umetoa taarifa katika mitandao ya
kijamii ukiishutumu kamati ya maadili ya CCM kuwa inamfanyia hujuma Mh
Lowassa.Kwa mara nyingine tena ofisi ya Mh Lowassa inakanusha kuhusika
kwa namna yoyote ile na taarifa za kikundi hicho na vingine
vitakavyotoa.
Imetolewa na ofisi na Mh Lowassa(mbunge)
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako