Wakati vijana wengi mjini wakiangaika kupiga mzigo na
kusubiri chao mwisho wa mwezi , ney wa mitego ameona isiwe tabu kujipa
kazawadi kidogo cha kusherekea siku yake ya kuzaliwa. Unajua jamaa
kanunua nini ? mshkaji kaangusha gari jipya aina ya Nissan Murano ikiwa
ndio mara ya kwanza anafanya sherehe ya birthday.

Ney alinena haya kuhusiana na gari yake mpya “Nimejinunulia Gari Aina ya
Murano Kama zaiwadi ya Birthday yangu , Limenigharimu Shilingi Mil 36 za Kitanzania , ni la Mwaka 2007 so bado ni Jipya Kabisa, One Love kwa mashabiki wangu”

No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako