- Zaidi ya Watu 420 wajiunga na CCM
- Wanachuo SAUT waahidi kudumisha Umoja wao na Ushirikiano
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wanachama wa Tawi la
CCM SAUT Kambarage na wananchi wa Nyamalango ,wilaya ya Nyamagana Mwanza
ambapo aliwaambia kuwa CCM itaendelea kuongoza kwani ndio chama pekee
chenye sera inayoeleweka kwa wananchi,mipango na ahadi zake
zinatekelezwa kila kona ya nchi.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipokea kadi ya CHADEMA kutoka
kwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Mtakatifu Agustine Ndugu
Simon Philbert Macheyeki ambaye amejiunga rasmi na CCM,katika mkutano
huo zaidi ya wanafunzi 86 wa chuo hiko wamejiunga na CCM na wanachama
wapya 420 wamejiunga na CCM.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimkabidhi kadi ya CCM Rais wa
Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustine Ndugu Simon
Philbert Macheyeki ambaye amejiunga rasmi na CCM,katika mkutano huo
zaidi ya wanafunzi 86 wa chuo hiko wamejiunga na CCM na wanachama wapya
420 wamejiunga na CCM.
Kadi za wanachama wapya waliojiunga na CCM kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustine Mwanza.
Wanachama wapya 420 wajiunga na CCM kutoka Chuo Kikuu cha SAUT Wilaya ya Nyamagana.
Rais
wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Mtakatifu Agustine Ndugu Simon
Philbert Macheyeki akila kiapo cha kujiunga na CCM kwenye mkutano wa
hadhara uliofanyika Nyamalango wilayani Nyamagana.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na wananchi na wanachama wa Tawi la CCM SAUT Kambarage Mwanza.