Leo katika pitapita kwenye kurasa za WAREMBO huko
INSTAGRAM...nimekutana na hichi kiatu cha mwanamama Jacqueline
Ntuyabaliwe aka K-LYINN..kiudaku udaku nikaona
ngoja ni GUGO bei ya hiki kiatu
Duh kucheki bei yake nikachoka
mwenyewe...ni zaidi ya gari aina ya VITZ (USED lakini..hizi ndio wabongo
wengi tunazimudu)....Hehehe sio ishu yote maisha...ni zaidi ya shilingi
Milioni Tatu na Nusu (ONLINE) na hapo bado haujaletewa...
Kumbuka hiki
nikiatu tu, bado gauni, pochi...nywele....nk...Dah huyu si anatembea na
M-KUMI kabisa.... Jionee mwenyewe hapa Kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM alikuwa ameweka picha hii: