MAPYA YALOIBUKA LEO KUMUHUSU DEMU WA NAY WA MITEGO, CHEKI HAPA
Huko Instagram kuna Jamaa Anajiita Dougiemasta13 sijui Siwema ambae ni mchumba wa Nay wa
Mitego kamkosea nini Maana madogo anayomshushia...Duuuhhh ...Baada ya
Jana Kuweka Video ya Wema akivishwa pete na Jamaa mwingine leo Kaja na
Mpya....