A

A

Kwa staili hii kweli Shetta kapania kumfunika Diamond.

Shetta_Ft_Diamond_Kerewa
Hivi sasa Shetta ameamua kufanya kweli, kama amepania flani hivi kufunika historia aliyowahi kufanya Diamond Platnumz, Katika kutimiza nia yake hiyo ya
kutoka kimuziki ki-international zaidi kama alivyofanya Platnumz, ameamua kwenda hadi huko nchini Siuth Africa kuipika vyema video yake ya nyimbo ya “Kerewa” aliyomshirikisha Diamond Platnumz. Diamond alianza kufanya kweli na ku-change game zima la muziki baada ya kujitoa muhanga na kutumia mamilioni ya fweza kufanya video kali nchini humo south Africa, video  ya “Mynumber1″ iliyo-make headlines sana ki-international zaidi. Ila ujio huu wa sasa wa Shetta sidhani kama atashikika kwenye ulimwengu huu wa muziki wa bongo fleva.
10349695_294248564086871_348095581_n

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako