Ommy
amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa yeye na msichana huyo
waliweza kukaa kwa muda wa mwaka mmoja wakichati bila kuonana.
“Social network zilisaidia kutuunganisha lakini matokeo yake mpaka tukaja kuonana. Mpaka nikaja kwenye tour
tukaonana, si unajua kuna zile mzee unashangaa ma Instagram mtoto ka
like picha kama tisini hivi, halafu ukichekecha unaona mbona kama
umechorwaee ,bahati nzuri ilipoanzishwa instamessage kwahiyo kama
unajiiba hivi.
Ni Mtanzania, mpaka kuonana ilichukua kama mwaka, tumechat tumechat mpaka ikafikia time, sina haraka kwanini niwe na haraka, kuamiana kunakuja automatically,” alisema.
“Unajua mambo ya mapenzi Mungu mwenyewe ndio anajua, pengine wengine anaweza wewe ukawa muuza mkaa demu akaja kununua mkaa.
Lakini lile kopo unavyolishika kimachejo wakati wa kupima yeye anapenda ule upimaji wako, kwahiyo kuna kitu kama hivyo haijalisha mnakutana wapi, ikiwa tu mmewekea mipaka yenu, masharti hivi na hivi maisha yenu yanaenda.