"Kwa
hiyo hatulegei; bali ijapokuwa utu wetu wa nje unachakaa, lakini utu
wetu wa ndani unafanywa upya siku kwa siku. Maana dhiki yetu ni nyepesi
iliyo ya muda kitambo tu, yatufanyia utukufu wa milele uzidio kuwa
mwingi sana. 2wakorintho4:16"
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako