Kama ilivyo kwa tuzo zozote maarufu duniani, mara nyingi ma’MC wa
show hizo huwa wanapenda kumwaga maneno mengi sana ya utani, ila
hii ni
kali zaidi, bila kujijua mwenyewe wakati akiwa anaendelea kutangaza,
alitokea kuwaponda watu maarufu duniani, akiwemo Kim Kardashian ambaye
anajulikana kama ni mwanamke mwenye umbo zuri zaidi, “I’ve seen
beautiful women here with butts that make kimkardashian‘s look like Miley Cyrus.(“nimekuja
hapa nimeona wanawake wenye maumbo mazuri, yanavyomfanya Kim Kardashian
aonekane kama Myle Cyrus”) – alitamka wazi wazi MC wa tuzo hizo za MTV
MAMA.
Watu wenye maumbo kama Wema Sepetu na wanawake wengi wa huko nchini
South Africa achilia mbali wageni waaalikwa kutoka nchi mbali mbali za
africa, kwa jinsi walivyo umbika kwa asili ya maumbo yao ya ki-africa,
yalimfanya hadi MC ambaye ndiye mchekeshaji muigizaji maarufu huko
hollywood maarufu kama Marlon Wayans, ashundwe kujizuia na kutamka
maneno kama hayo hadharani