HAYA NDIO MAMBO YA AJABU YA IPTL ALIYOYAKUTA WAZIRI MUHONGO NA KUYASIMISHA MARA MOJA NA SASA ANASHAMBULIWA NA WAHUSIKA WA HUU MCHEZO WA WIZI WA AJABU!!
Sakata la IPTL: Hisa za Mechamar 70% katika IPTL ziliuzwa kwa 6mil
tshs.Hisa za VIP 30% iptl ziliuzwa 75mil tshs. Bila kodi kulipwa TRA
kimya! Na Kampuni yenye akiba Escrow ya USD $ 122Mill iuzwe kwa tshs 6mil!
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako