Maisha
ni Hatua.. Nafkiri kwa mwaka huu ile ndio ilikuwa hatua yetu kwa
MTV...Cha muhimu ni kujua wapi tulipokua mwaka jana na wapi tulipo
leo... pia kujifunza na kujua ni nini cha kuongeza zaidi ili Next tym
tuzidi kufanya vyema....
Shukrani
zangu nyingi ziende kwa ashabiki wote,Management, Media,Family, wasanii
na wadau Mbalimbali kwani kwa nguvu zao ndio zimefanya leo kunisogeza
toka sehem moja kwenda nyingine...Next stop #BET!!!... Asante sana #Sheriangoi kwa Suti Hii.