Kupitia Instagram page yake yenye followers zaidi ya
milioni moja na
laki moja, Lupita amepost picha ya Matatu hiyo kuonesha dunia jinsi
anavyokubalika nyumbani.
“Don’t worry, I have a ride.” #MatatuLove#Kenya” Lupita Nyong’o ameandika kwenye post yake.
Baada ya kupost picha hiyo, muda mfupi baadae ilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na blogs kitu ambacho ni deal kwa mmiliki wa gari hilo kwa kuwa amepata matangazo makubwa bure kwa kuonesha tu anavyompenda